Cincopa Gallery 3

...

Tuesday, November 29, 2016

Tuition kwa wanaotaka kufanya mitihani ya Bodi ya Wahasibu na wakaguzi wa Hesabu NBAA

Hali Halisi:
Je, bado unang'ang'ania njia isiyokua na uhaka? There are so many ways if skinning a cat' si lazima kila mtanzania afike chuo kikuu ili afanikiwe. Ni ukweli kabisa kuwa kwa hali halisi Tanzania hii kwa watu wa kawaida, wengi wanaoshindwa maisha ni wale wanaoenda chuo kikuu kuliko wale wasioenda. Binafsi ninaweza kwa haraka haraka sana nikakutajia vijana 20 ambao kwa kukosa nafasi ya kwenda chuo, wameweza kufanikiwa zaidi kuliko wale waliopata nafasi ya kwenda chuoni. Wahitimu wengi wa chuo kikuu katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, bado wako barabarani, hawana kazi, wanazurula na cv zao, na bado hawajapata pa kuanzia. Ni ukweli pia kuwa wengi wa wale ambao hawakupata nafasi hizo, wametoka kimaisha, na wengine baada ya kutengeneza maisha ndio sasa wanarudi chuoni kujisafisha kwa elimu ya chuo, tena kwa kujilipia, wakienda shule na magari, na wengine hata kuishi katika nyumba zao;


Hali halisi leo ikoje?
Elimu ya Tanzania leo ni ya hali ya chini sana hata kukosa kabisa heshima sokoni. Wengi wa waajiri wantaka vijana waliona ujuzi, na wala hawana habari na hao waliosoma vitabu, miaka mitatu hadi minnne ya kukaa vyuoni imewatoa kama walivyoingia. Hawana soko ispokua tu wale waliosomea masomi ya afya na utabibu. Katika kipindi hiki cha magufuli uhakika wa chuo hata kwa vijana wenye ufaulu ni finyu sana, wakati swala la ajira ndio usiseme, serikali haina kabisa mpango wa kutoa ajira hvi karibuni kwa kuwa ajira hizo hazipo. Na kwa mdororo huu wa uchumi, hakuna namna serikali itaweza kuwekeza katika sekta zinazozalisha, pesa yake itaelekezwa daima kwenye mishahara na madeni. Serikali inakusanya shs billioni 1 pointi 3 wakati madeni peke yake iliyoamua kuyalipa yanazidi mil 900 kwa mwezi.

Nani anayeajiri leo hii?
Ni private sector na kazi zilizo na soko zimebaki kuwa zile za uhasibu na manunuzi yaani accounting and procurement.

Habari Njema
NBAA inatoa mitaala ya wahasibu na maafisa ugavi (procurement) tangu ngazi ya veta. Hii inamaana unaweza kabisa ukafikia ngazi ya ugaguzi mahesabu kwa kufanya mitihani ya bodi mfululizo kuanzia foundation mpaka CPA. Hii ni habari ngeni kwa vijana wengi wa kitanzania, habari njema ni kwamba kituo chetu kimeamua kuwakomboa vijana kwa kuanza kutoa mafunzo ya uhasibu kwa ngazi ya cheti. Tunawaandaa vijana waliomaliza kidato cha 4 na kuwaandaa kufanya mitihani ya bodi katika kituo chetu, mara mbili kwa mwaka. Inamaana katika mwaka huo wa kwanza, kijana anaweza kabisa kufanya mitihani ya bodi ya ngazi ya cheti yaani ATEC1 na ATEC 2 na kufaulu kuwa mwanachama wa bodi ya wahasibu na wakaguzi, huku akijiandaa sasa kuendelea kufanya mitihani hiyo kuelekea kwenye CPA.

Njia hii n rahisi, ya wazi na uhakika zaidi wa kujipatia ujuzi wa hali ya juu katika fani inayolipa kuliko fani nyingine zozote hapa nchini. Soma kipeperushe chetu juu ya kujiandikisha na ufanye hivyo mara moja, nafasi ni chache sana kwa mwaka huu tunachukua wanafunzi 25 tu. Mafunzo hayo pia yanakuwezesha kufanya tena mitihani ya kidato cha 4 ili kupata credit za kuingilia kidato cha 5 kama utaamua kufanya hivyo. Mafunzo yetu ni ya uhakika kabisa. Jindikishe sasa jiandikishe leo kwa kupiga simu 0717 190 856

kwa watakaowahi kujiandikisha na kulipia tutatoa mafunzo ya awali bure mwezi wa 12 mwaka 2016 ili kukuandaa kuanza pasipo kubeba mzigo wa nyumba

Sunday, November 27, 2016

Chuo cha Mafunzo ya Uhasibu na Mahesabu kwa Certificates ATEC 1 & 2 na foundation


Ndugu watanzania wenzangu, Gone are the old ways za kung'ang'ania degree, hakuna kazi, mikopo janga, acheni kupoteza muda, jiunge na masomo ya ujuzi moja kwa moja. Unaweza kuwa mtaalamu pasipo kusubiria kuingia chuo kikuu. Je unataka kuwa mtaalamu wa mahesabu (Accountant)? Mkaguzi wa mahesabu? (Auditors) au hata mtaalamu wa Manunuzi na Ugavi (procurement)? Tunatoa mafunzo ya ngazi ya cheti na foundation kwa waliomaliza Kidato cha 4. Kituo chetu kiko katika hatua za mwisho za kusajiliwa kama kituo cha kufanyia mitihani, Usihangaike njoo jiandikishe haraka mafunzo ya awali ya maandalizi ya mwezi mzima ni ya bure kuanzia Dec 15, 2016. Hiyo itakua muda wa kujipima kama kweli unataka kuwa bingwa wa kutunza hesabu. Mitihani hii inaandaliwa na kusimamiwa na NBAA. Tunoomba mtuamini, tuko kwa ajili yako na nchi yetu

Mkutano wa mafunzo ya Kujaza application form Za Australia wafanyika Dar Nov 9, 2016

Participants to the Australia Awards Africa  training on how to fill the application: Nov 9, 2016 held at the Tanzanite Hall New Africa Hotel DSM

Thursday, October 20, 2016

What the Astrallians are saying about the scholarships NEXT STEP

Hello Rosemary,
Many thanks for all your efforts as below- especially knowing how busy you are. We appreciate your spreading word of the scholarships to your networks.

As an update to our last communication, we may have two DFAT staff visiting Tanzania around the same period on official duty. We are considering the possibility of them joining you on 9th November together with the alumni association and supporting this initiative.

In the meantime, the alumni association will help mobilise alumni especially those based in Dar to support in this efforts. The alumni can also help address questions on the eligibility criteria-so you aren’t handling all the texts and calls by yourself. 

Frequent Asked Questions na Applicants wa Australia Scholarship Awards

Nimekua nikiulizwa maswali yafuatayo na waombaji nafasi tajwa hapo juu, na pembeni yake ni majibu niliyonayo kuhusu mchakato huu.

1. Hivi inakuaje kwa watu wanaotaka Phd, Answer, sifahamu kwa kuwa hizi ni scholarships za Masters na short courses
2. Je, Ni lazima niwe na miaka 3 ya experience? Jibu; Ndiyo
3. Je naweza kuomba degree nyingine ya pili wakati tayari ninayo, Jibu: Degree hizi ni kwa wale wanaotafuta kiwango kingine toka pale walipokua.
4. Je naweza kuja tu kushiriki katika kujaza fomu japo siko eligible: Jibu, ni vizuri ukasubiri wakati wako utakapofika ili kutupunguzia kazi zisizo za lazima

Australia Masters Scholarship 2016 - Up date

Ndugu Applicants wa Scholarship zilizotajwa hapo juu:

Ninawashukuru kwa mwitikio wenu kwenye jambo. Wengi wenu mmelifanyia kazi kwa uharaka na shauku. Tafdhali hakikisha yafuatayo:
1. Kwamba umesoma website: www.australiaawardsafrica.org na kuelewa vigezo na masharti
2. Ume download, ku print na kujaza application form katika maeneo uliyoyaweza
3. Kama uk Dar, unajiandaa kukutana na Program Officers, Alumni, EABMTI team ili kuelekezwa pale uliposhindwa kumalizia tarehe 8 au 9 November, 2016
4. Mahali pa kukutana: Msasani Peninsular, Ofisi za EABMTI - Msasani, SlipWay, Kimweri road
5. Muda: Kuanzia saa 4 Asubuhi
6. Njoo ya Lap top yako na modem yenye internet kwa ajili ya kujazia taarifa husika
7; Kama huna Laptop basi njoo na T,sh 10,000/- kwa ajili ya kutumia computer zilizopo chuoni hapo
8. Ingia kwenye ukurasa wa Blog ya Tanzania Tunayoitaka, Rosemary Mwakitwange, Jiandikishe kwenye registration form kwa ajli ya appointment ya kukuona kumalizia application process yako.
9. Epuka kupiga simu badala yake weka maoni na maswali yako kwenye blog hii