Cincopa Gallery 3

...

Thursday, October 20, 2016

Frequent Asked Questions na Applicants wa Australia Scholarship Awards

Nimekua nikiulizwa maswali yafuatayo na waombaji nafasi tajwa hapo juu, na pembeni yake ni majibu niliyonayo kuhusu mchakato huu.

1. Hivi inakuaje kwa watu wanaotaka Phd, Answer, sifahamu kwa kuwa hizi ni scholarships za Masters na short courses
2. Je, Ni lazima niwe na miaka 3 ya experience? Jibu; Ndiyo
3. Je naweza kuomba degree nyingine ya pili wakati tayari ninayo, Jibu: Degree hizi ni kwa wale wanaotafuta kiwango kingine toka pale walipokua.
4. Je naweza kuja tu kushiriki katika kujaza fomu japo siko eligible: Jibu, ni vizuri ukasubiri wakati wako utakapofika ili kutupunguzia kazi zisizo za lazima

No comments:

Post a Comment

Rosemary Mwakitwange will be happy to hear from you.