Cincopa Gallery 3

...

Thursday, October 20, 2016

Australia Masters Scholarship 2016 - Up date

Ndugu Applicants wa Scholarship zilizotajwa hapo juu:

Ninawashukuru kwa mwitikio wenu kwenye jambo. Wengi wenu mmelifanyia kazi kwa uharaka na shauku. Tafdhali hakikisha yafuatayo:
1. Kwamba umesoma website: www.australiaawardsafrica.org na kuelewa vigezo na masharti
2. Ume download, ku print na kujaza application form katika maeneo uliyoyaweza
3. Kama uk Dar, unajiandaa kukutana na Program Officers, Alumni, EABMTI team ili kuelekezwa pale uliposhindwa kumalizia tarehe 8 au 9 November, 2016
4. Mahali pa kukutana: Msasani Peninsular, Ofisi za EABMTI - Msasani, SlipWay, Kimweri road
5. Muda: Kuanzia saa 4 Asubuhi
6. Njoo ya Lap top yako na modem yenye internet kwa ajili ya kujazia taarifa husika
7; Kama huna Laptop basi njoo na T,sh 10,000/- kwa ajili ya kutumia computer zilizopo chuoni hapo
8. Ingia kwenye ukurasa wa Blog ya Tanzania Tunayoitaka, Rosemary Mwakitwange, Jiandikishe kwenye registration form kwa ajli ya appointment ya kukuona kumalizia application process yako.
9. Epuka kupiga simu badala yake weka maoni na maswali yako kwenye blog hii

6 comments:

  1. Enter your comment...nafanyeje hiyo registration kwa ajili ya kuweka appointment???

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana Dada Rose Mwakitwange kwa ukombozi huu ni miaka mingi tumekuwa tukisemwa vijana Wa kitanzania kwenye kuaplai scholarship mbalimbali kwani wengi wetu hatujiamini

    ReplyDelete
  3. Dada Rose nitakuja hiyo tar Nov 2016.

    Ahsante

    ReplyDelete
  4. Please naomba msaada unaingiaje sehemu ambayo ina registration form ya appointment...

    ReplyDelete
  5. Please naomba msaada unaingiaje sehemu ambayo ina registration form ya appointment...

    ReplyDelete
  6. Naomba fomu ya kujiandikisha kwa siku hiyo Nov 8

    ReplyDelete

Rosemary Mwakitwange will be happy to hear from you.