Cincopa Gallery 3

...

Sunday, November 27, 2016

Chuo cha Mafunzo ya Uhasibu na Mahesabu kwa Certificates ATEC 1 & 2 na foundation


Ndugu watanzania wenzangu, Gone are the old ways za kung'ang'ania degree, hakuna kazi, mikopo janga, acheni kupoteza muda, jiunge na masomo ya ujuzi moja kwa moja. Unaweza kuwa mtaalamu pasipo kusubiria kuingia chuo kikuu. Je unataka kuwa mtaalamu wa mahesabu (Accountant)? Mkaguzi wa mahesabu? (Auditors) au hata mtaalamu wa Manunuzi na Ugavi (procurement)? Tunatoa mafunzo ya ngazi ya cheti na foundation kwa waliomaliza Kidato cha 4. Kituo chetu kiko katika hatua za mwisho za kusajiliwa kama kituo cha kufanyia mitihani, Usihangaike njoo jiandikishe haraka mafunzo ya awali ya maandalizi ya mwezi mzima ni ya bure kuanzia Dec 15, 2016. Hiyo itakua muda wa kujipima kama kweli unataka kuwa bingwa wa kutunza hesabu. Mitihani hii inaandaliwa na kusimamiwa na NBAA. Tunoomba mtuamini, tuko kwa ajili yako na nchi yetu

No comments:

Post a Comment

Rosemary Mwakitwange will be happy to hear from you.